Tayari ligi ya malkia yarejea rasmi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tayari ligi ya malkia yarejea rasmi

Tayari imerudi. Ni ile Ligi inayoacha mashabiki wake wakiwa na machozi, jasho, damu, tabasamu, hasira, vicheko na mshangao. Ligi Kuu England imerudi tena na leo kuna pambano moja kati ya Manchester United na Leicester City pale Old Trafford.


Source: MwanaspotiRead More