Tazama matukio katika picha kutoka Bungeni leo – June 6, 2018 - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tazama matukio katika picha kutoka Bungeni leo – June 6, 2018

Kikao cha 45, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea Jijini Dodoma, Leo Bunge limeongozwa na Mwenyekiti wa Bunge, Azzan Zungu. Kipindi cha Maswali na Majibu kiliendelea na wabunge walijibiwa na Serikali.Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde akijibu maswali bungeni jijini DodomaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI,Joseph Kakunda , Bungeni jijini Dodoma


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania, Deus Seif kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe (kushoto ) na Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungum... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More