Tazama Pepe Reina alipocheza kiungo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tazama Pepe Reina alipocheza kiungo

KIPA wa Manchester City, Ederson amesema matamanio yake ya kuacha nafasi yake ya kukaa golini na kwenda kucheza kwenye sehemu ya kiungo sambamba na wakali kama kina Fernandinho na David Silva – lakini hilo analoliwaza kipa huyo wa Brazil, limeshawahi kufanywa na kipa Pepe Reina wakati huo alipokuwa akiidakia Liverpool.


Source: MwanaspotiRead More