TBF YAOMBA WADAU KUSAIDIA KUFANIKISHA MICHUANO YA KANDA YA TANO YA VIJANA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TBF YAOMBA WADAU KUSAIDIA KUFANIKISHA MICHUANO YA KANDA YA TANO YA VIJANA


Let's walk the talk members ...

Naomba kuwashirikisha wadau wote katika matukio yetu yajayo ya kikapu, naomba mjumuike nasi kufanikisha mashindano ya kimataifa ya kikapu ya kanda ya tano kwa timu za Taifa za vijana chini ya miaka 18 (FIBA ZoneV U18) 17-22 June 2018, yatakayofanyika hapa Dar es Salaam.Kanda ya tano ina nchi 12 ; Egypt, Sudan, South Sudan, Eritrea , Ethiopia, Somalia, Djibouti, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Tanzania. Bingwa wa mashindano haya atapata tiketi ya kushiriki mashindano ya kutafuta bingwa wa Kikapu Mataifa ya Afrika (Afrobasket 2018). Tunahitaji fedha za kusaidia mashindano na kusaidia timu zetu za wanawake na wanaume kukaa kambini, jumla tunahitaji 100M. Corporate Sponsors karibuni na wachangiaji binafsi pia karibuni.Makundi mbali mbali ya kijamii eg. WhatsApp groups, Telegram groups, Facebook groups, Google groups etc mnakaribishwa kuratibu na kuchanga kimakundi na mnakabidhi pamoja, Admins watakabidhi kwa niaba ya kila kikundi. Pamoja tunaweza, ahsant... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More