TBS Yatoa Elimu Kuhusu Majukumu Yake Mapya - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TBS Yatoa Elimu Kuhusu Majukumu Yake Mapya

Ofisa Uhusiano, Neema Mtemvu, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa. Ally Hapi kwa kudhamini Kongamano la Vijana na Wanawake lilimalizika jana (Septemba 5, mwaka huu) wilayani Kilolo .TBS imedhamini na kutoa elimu kwa vijana na wanawake wilayani humo. Picha na Chalila Chibuda.
Na Mwandishi Wetu, KiloloZAIDI vijana na wanawake 800 katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, wameelimishwa jinsi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linavyotekeleza majukumu mapya ambayo awali yalikuwa chini ya iliyokuwa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA).
Wananchi hao walipatiwa elimu hiyo kupitia kongamano la siku mbili lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kushirikiana na wilaya na kudhaminiwa na TBS. Kongamano hilo la siku mbili lilianza Septemba 4 na kumalizika Septemba 5, mwaka huu.
Akitoa elimu kwa washiriki wa kongamano hilo kuhusiana na mabadiliko hayo, Ofisa Uhusiano wa TBS, Neema Mtemvu, alisema TBS inatekeleza majukumu hayo kufuatia mab... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More