TBT LA KISPOTI: fahamu kuhusu mchezaji bora wa muda wote wa Liverpool - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TBT LA KISPOTI: fahamu kuhusu mchezaji bora wa muda wote wa Liverpool

Tarehe kama ya leo Liverpool ilanasa saini ya Kenny Dalglish

Maelezo binafsi
Majina Kenneth Mathieson Dalglish
Kuz 4 Machi 1951 (67)
Mahali Glasgow, Scotland
Kimo 1.73 m (5 ft 8 in)
Nafasi Forward

Alianzia maisha yake ya soka huko huko nchini ScotlandSoka la Vijana
1967–1968 Cumbernauld United
1968–1969 Celtic


Dalglish alianzia maisha yake pale Celtic mwaka 1971, akashinda mataji manne ya Scottish league championships, vikombe vinne vya Scottish Cups na taji moja la Scottish League Cup.


Mnamo tahere 12 mwezi wa 8 mwaka 1977, akaelekea Liverpool chini ya meneja Bob Paisley aliyetoa kitita cha £440,000 (£2,509,000 kwa hela ya sasa)Soka la wakubwa
T M (G)
1969–77 Celtic 204 (112)
1977–90 Liverpool 355 (172)
Jumla 559 (230)


Mataji yake na liverpool kwa miaka yote ni:


League Championship🏆🏆🏆🏆🏆🏆

League Cup🏆🏆🏆🏆

European Cup🏆🏆🏆

FA Cup🏆

172 Mabao⚽


Baada ya majnaga ya kuanguka kwa uwanjana wa Heysel Stadium mwaka 1985 kocha Joe Fagan aliamua kujiuzulu wadhfa wake na Dalglish alitwaa nafasi y... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More