#TBT :: Moro Sec na Pozi la Kris Kros - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#TBT :: Moro Sec na Pozi la Kris KrosLeo da Shamim katupia TBT yake enzi hizo akiwa Moro Sec na pozi maarufu la Kris kros akiwakakumbushia Da Chaba.


RAP
#tbt

Hahahaha nakumbuka mpiga picha alikua anaitwa Msigwa ( hivi bado yuko huko morogoro mwambieni alijua kutufyekelea mbalii😊) , alikua anakuja ana kofia zake iyo ya RAP na ingine iliandikwa DUDE maalum kwa kupigia picha , chakufurahisha sasa woote pozi ilo ilo na bila kusahau lile tunapozi tumeshika moyo 🙈

.

Yaani kama ulisoma morosec na waishi hostel huna picha umevaa iyo kofia ulikua mlunywa 🤣🤣🤣
@habibabrownskinny
@jamilashoko
@estherminja
@haikakimambo55
@kidsevents
@salma2k
@tuzye

Watagini watoto wa #morosex
Baadhi ya comments sasa
mamathaqyer1000Hahahahaa sura haibadiliki Iq mtupu ❤️ @8020fashions


sofiabyanakuStarted from the bottom now we here😂😂😂😂


nicaclemence@neypeace hee alishafariki kumbe daah Apumzike kwa amani


lusia30😂😂😂😂


susukollexion@amanda_geofrey_kusilachokochoko mchokoe pweza….Hamis ... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More