TBT :: STORY YA ANETH GERANA ISAYA DADA KIZIWI AMBAYE NI MSOMI NA MJASIRIAMALI PART 1 - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TBT :: STORY YA ANETH GERANA ISAYA DADA KIZIWI AMBAYE NI MSOMI NA MJASIRIAMALI PART 1

41a7cfb9ae983d742fe510850518ccbaDAY 1 STORY

Anneth: Ninaitwa aneth gerana isaya nilizaliwa nasikia kama ninyi ndugu zangu lakini kwa bahati mbaya nikaumwa nikapata matatizo ambayo yalinipelekea kupoteza uwezo wangu wa kusikia ndio maana sasa mimi ni kiziwi lakini pamoja na Hali hiyo sikukubali kabisa kupoteza dira na Malengo yangu ya kusoma hadi chuo kikuu

Anneth: Kwanza kabisa namshukuru Mungu wa mbinguni maana ni kwa neema yake leo nipo hapa kuwapa ushuhuda huu kwa maana bila yeye nisingekuwa hapa leo nasema asante Mungu wangu wewe ni Ebenezer

Anneth: Pili namshukuru admin Yunus kwa kutambua dhamani yangu kwenu akaona heri aniletee huku mnisikie nilipoingia humu nilikuta watu kumi tu nikamwambia kama unataka nisimulie jitahidi ongeza watu wafike 50 kwa maana nataka ushuhuda wangu unoe vichwa vingi na kweli tangu jana anasaka watu kwa juhudi na maarifa hatimaye mmefika 50na zaidi hongera admin kwa juhudi hii group litafika mbali

Anneth: Nawashukuru wazazi wangu pamoja na mimi kupata matatizo lakini walinipeleka shul... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More