TCRA KAMPENI YA MNADA KWA MNADA CHALINZE KATIKA UTOAJI WA ELIMU YA USAJILI WA LAINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TCRA KAMPENI YA MNADA KWA MNADA CHALINZE KATIKA UTOAJI WA ELIMU YA USAJILI WA LAINI

Afisa wa TCRA akitoa elimu kwa Wananchi katika Kampeni ya Mnada kwa Mnada katika Viwanja vya Bwilingu , Chalinze mkoani Pwani.Mwananchi akiweka taarifa za usajili katika Mnada wa Chalinze wakati Kampeni ya Mnada kwa Mnada ya TCRA ikiwa imepita kwa ajili ya kutoa Elimu ya usajili wa laini kwa alama za vidole.Wananchi wakiwa katika foleni ya usajili wa vitambulisho vya Taifa katika Kampeni ya Mnada kwa Mnada katika Viwanja. Vya Bwilingu Chalinze mkoani Pwani.
Wakazi wa Chalinze na viunga vyake wamejitokeza kwa wingi katika kampeni ya Mnada kwa Mnada ambapo Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Kampuni ya simu, Jeshi la Polisi Kitengo cha Uhalifu Mitandaoni na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Idara ya Uhamiaji kwa ajili ya utoaji wa huduma za usajili wa laini za simu kwa kutumia vitambulisho vya kitaifa na kuhakikiwa na kampuni za simu kwa kuweka alama za vidole kwa laini za simu.Kampeni tangu imeanzishwa imekwenda katika Mikoa 15 lengo kuu ni nchi nzima kuf... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More