TCRA yafunika Kampeni ya Mnada kwa Mnada mkoani Morogoro. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TCRA yafunika Kampeni ya Mnada kwa Mnada mkoani Morogoro.

 Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki wa TCRA Mhandisi Lawi Odiero akizungumza na wananchi katika Mnada mkoani Morogoro.Baadhi ya wadau mawasiliano wakiwa katika Mnada wa mkoani Morogoro.
 Afisa wa Mamlaka ya Vitambulusho vya Taifa akiwapa maelezo wananchi walipotembelea Banda hilo katika Mnada mkoani Morogoro. Wananchi wakiwa katika foleni ya usajili wa Vitambulusho vya Taifa katika Mnada mkoani Morogoro ikiwa ni Kampeni ya TCRA ya kutoa elimu ya usajili wa simu kwa njia ya alama za vidole..  Meneja wa Duka la Vodacom mkoani Morogoro Ntugwa Jidayi akiwapa maelezo Watendaji wa TCRA walipitembelea Duka hilo. Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano kwa Watumiaji Mawasiliano Thadayo Ringo akitoa maelezo kwa wananchi katika Mnada mkoani Morogoro ikiwa ni Kampeni ya TCRA ya Mnada kwa Mnada wa utoaji elimu ya usajili wa simu kwa njia ya alama za Vidole.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More