TCRA yatangaza kuja kwa Kisimbusi kimoja kwa Chaneli zote nchini - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TCRA yatangaza kuja kwa Kisimbusi kimoja kwa Chaneli zote nchini

Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA wametangaza kuja na kisimbusi kimoja kitakachoonyesha chaneli nyingi zaidi badala ya kuwa na kisimbusi (decorder) zaidi ya kimoja kuzipata zote. Kisimbusi hicho kitakuwa na teknolojia ya cccam (card sharing) ambapo mtumiaji atakuwa anachomeka kadi maalum kupata chaneli anazokusudia badala ya kuwa na kisimbusi kingine. Ni kwamba Kisimbusi hicho kitakuwa na [...]


The post TCRA yatangaza kuja kwa Kisimbusi kimoja kwa Chaneli zote nchini appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More