TCRA, yawafikisha Mahakamani watuhumiwa wa wizi wa mtandaoni. - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TCRA, yawafikisha Mahakamani watuhumiwa wa wizi wa mtandaoni.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo imewafikisha mahakamani watuhumiwa 13, wa wizi wa mtandaoni, pamoja na kula njama za Uhujumu Uchumi. Akisoma mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Kelvin Mhina, jopo la mawakili upande wa Jamhuri, ukiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga, amesema watuhumiwa hao 13, wakiongozwa na Boniface Maombe, wametenda makosa


Source: Kwanza TVRead More