TCRA yawasaa vijana kutumia Teknolojia ya mawasiliano katika kujiletea maendeleo - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TCRA yawasaa vijana kutumia Teknolojia ya mawasiliano katika kujiletea maendeleo

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii MKURUGEZI wa Utangazaji Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Frederick Ntobi amewaasa vijana kutumia fursa za kiteknolojia za kisasa kubuni vitu mbalimbali vitakavyosaidia maendeleo ya  kiuchumi.
Akizungumza katika Maonesho ya Mawasiliano yaliyofanyika viwanja vya Posta, Ntobi amesema teknolojia za kisasa zikitumiwa vizuri zinaweza kubadili kubadili mwenendo wa uendeshaji wa shughuli za kiuchumi nchini.
Amesema  maonyesho ya kwanza ya Mawasiliano yaliyoandaliwa na Kampuni ya Aecco Cunsulting kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Kitivo cha Tehama jiji hapa.
Amesema Maonesho hayo yanalenga kukuza biashara na kuongeza mwanya wa ubunifu na kukuza uchumi wa viwanda nchini.
"Maonesho haya yatasaidia vijana kujitangaza lakini  wabadilike kutoka matumizi ya Tehama ya kuwasiliana mambo ya hovyo na badala yake watumie mawasiliano yenye tija ili kuibua ajira na kukuza uchumi wa mtu mmoja moja na hatimaye uchumi kwa taifa" amesema Ntobi
Ntobi TCRA... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More