TCU wapiga ‘stop’ udahili vyuo vikuu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TCU wapiga ‘stop’ udahili vyuo vikuu

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imezuia udahili wa wananfunzi wapya katika vyuo vikuu vinne  pamoja na kuamuru wanafunzi wake wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2018/19 kwenye programu tisa kuhamishiwa katika vyuo vingine. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Katika hatua nyingine, TCU imefuta usajili wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya ...


Source: MwanahalisiRead More