Team Ronaldo de Lima noma - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Team Ronaldo de Lima noma

Kombe la Dunia sasa zimebaki siku chache sana kabla ya kuanza kutimua vumbi. Wakati dunia ikitarajia kwenda kutazama vikosi vyenye mastaa wa aina tofauti wakionyesha ubabe, supastaa wa zamani wa Kibrazili, Ronaldo Luis Nazario de Lima, ameamua kutaja kikosi chake cha kwanza ambacho mwenyewe anaamini ndicho bora zaidi kuwahi kutokea duniani katika mchezo huo wa soka.


Source: MwanaspotiRead More