TEAM SAMATTA WAIPAPASA TEAM KIBA KWA 4-2 MBELE YA WAZIRI DKT MWAKYEMBE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TEAM SAMATTA WAIPAPASA TEAM KIBA KWA 4-2 MBELE YA WAZIRI DKT MWAKYEMBE


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh, Harisson Mwakyembe akitambulishwa wachezaji wa Team Ali Kiba  na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva  katika mchezo wa hisani uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo , Katika mchezo huo Team Samatta imeifunga Team Kiba magoli 4-2 na kuibuka washindi wa mchezo huo mbele ya mashabiki wao waliojitokeza kwenye uwanja wa Taifa leo, Mchezo huo ulikuwa unadhaminiwa na Kiwanda cha Maziwa ya ASAS DAIRIERS cha Iringa
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Mechi ya hisani baina ya marafiki wa Ali Kiba na marafiki wa Samatta imechezwa leo Jijini Dar es Salaam huku mamia ya wananchi wakijitokeza kwa wingi wakiongozwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe.

Mechi hiyo mahususi kwa ajili ya uchangiaji wa fedha zitakazotumika kukarabati miundo mbinu ya mashuleni iliweza kukutanisha wachezaji kutoka timu mbalimbali za ligi kuu na nje ya nchi.

Mchezo huo uliomalizika kwa Marafiki wa Samatta kuondoka na ushindi wa goli 4-2... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More