TEAM SAMATTA YAIKANDAMIZA TEAM KIBA MAGOLI 4-2 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TEAM SAMATTA YAIKANDAMIZA TEAM KIBA MAGOLI 4-2 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh, Harisson Mwakyembe akitambulishwa wachezaji wa Team Samatta na Mchezaji wa Timu ya Genk ya Ubeligiji Mbwana Samata katika mchezo wa hisani uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo , Katika mchezo huo Team Samatta imeifunga Team Kiba magoli 4-2 na kuibuka washindi wa mchezo huo mbele ya mashabiki wao waliojitokeza kwenye uwanja wa Taifa leo, Mchezo huo ulikuwa unadhaminiwa na Kiwanda cha Maziwa ya ASAS DAIRIERS cha Iringa.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh, Harisson Mwakyembe akitambulishwa wachezaji wa Team Samatta na Mchezaji wa Timuya Genk ya Ubeligiji Mbwana Samata katika mchezo wa hisani uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo , Katika mchezo huo Team Samatta imeifunga Team Kiba magoli 4-2 na kuibuka washindi wa mchezo huo mbele ya mashabiki wao waliojitokeza kwenye uwanja wa Taifa leo, Mchezo huo ulikuwa unadhaminiwa na Kiwanda cha Maziwa ya ASAS DAIRIERS cha Iringa.Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh, Harisso... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More