Tecno waja na OFA mpya ya Vimba Season, wateja wao kujishindia simu na zawadi kibao (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tecno waja na OFA mpya ya Vimba Season, wateja wao kujishindia simu na zawadi kibao (+video)

Kampuni ya Tecno Tanzania imekuja na Ofa ya Vimba Season ambayo itamuwezesha mteja yeyote atakayenunua simu ya Tecno kujishindia zawadi kemkem.Kwenye msimu huu wa Vimba Season watumiaji watakaonunua simu za Tecno wataingia moja kwa moja kwenye droo na kushiriki na uzuri ni kwamba hakuna mtu anatakayekosa zawadi.


 


The post Tecno waja na OFA mpya ya Vimba Season, wateja wao kujishindia simu na zawadi kibao (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More