TEF lataka waliojeruhiwa kwenye ajali ya moto mkoani Morogoro washitakiwe, Ladai walikuwa ni waporaji - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TEF lataka waliojeruhiwa kwenye ajali ya moto mkoani Morogoro washitakiwe, Ladai walikuwa ni waporaji

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kushtushwa na taarifa za vifo vya Watanzania 69 walioungua kwa moto wakati wakichota mafuta kutoka katika Lori lililopinduka eneo la Msamvu Mjini Morogoro, jana Agosti 10, 2019 huku jukwaa hilo likitaka waliojeruhiwa washtakiwa pindi watakapopona majeraha yao.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Deodatus Balile imesema kuwa vifo hivyo vimetokana na tabia iliyojengeka kwa baadhi ya watu kuchukulia ajali kama fursa ya kujipatia mali.


Tumeshuhudia picha za watu waliofariki kwa kuungua moto zikirushwa kwenye mitandao ya kijamii kinyume cha maadili ya taaluma ya uandishi wa habari na upashanaji habari. Tunakemea tabia hii na kuitaka jamii iache mara moja tabia hii ya kinyama isiyo ya utu,” amesema Balile kwenye taarifa hiyo.


Kuhusu majeruhi walionusurika kwenye ajali hiyo, Balile amesema majeruhi hao wakipona washtakiwe ili wajiepushe na tabia

ya uporaji.


Ikilazimu, wote watakao... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More