TEF, TFF wapinga wanahabari kushambuliwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TEF, TFF wapinga wanahabari kushambuliwa

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumfungulia Mwanahabari wa gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma mashitaka ya kuandamana bila kibali. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Tamko la TEF lilitolewa hapo jana Agosti 9, 2018 na Kaimu Mwenyekiti wake, Deodatus Balile ambapo alisema mwanahabari huyo alikuwa kazini akitekeleza wajibu wake wa ...


Source: MwanahalisiRead More