Teknolojia ya VAR kufanyiwa majaribio mechi hizi tano za EPL Jumamosi - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Teknolojia ya VAR kufanyiwa majaribio mechi hizi tano za EPL Jumamosi

Teknolojia ya kutumia video kuwasaidia waamuzi, maarufu kama VAR, itafanyiwa majaribio katika mechi kadha kwa pamoja Ligi Kuu ya England kwa mara ya kwanza Jumamosi.


Brighton & Hove Albion’s Yves Bissouma battles with Liverpool’s Naby Keita during the Premier League match at Anfield Stadium, Liverpool. Picture date 25th August 2018. Picture credit should read: Matt McNulty/Sportimage via PA Images

Teknolojia hiyo itajaribiwa katika mechi tano ambazo zitakuwa zinachezwa kuanzia saa kumi na moja saa za Afrika Mashariki.Baada ya kujaribiwa katika mechi moja moja msimu uliopita, wasimamizi wa Ligi ya Premia sasa wanataka kuona iwapo teknolojia hiyo inaweza kufanikiwa ikitumiwa katika mechi kadha kwa wakati mmoja.Majaribio hayo yatakuwa yanadhibitiwa kutoka kituo kimoja kikuu cha VAR.Hakutakuwa na mawasiliano ya aina yoyote na waamuzi uwanjani mechi zitakapokuwa zikiendelea.Kwa sasa wakati wa majaribio, teknolojia hiyo ya VAR itatumiwa katika uamuzi wa kuthibitisha magoli yanapofungwa, ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More