TEMESA TANGA YAALIKA WADAU KUSIKILIZA KERO ZAO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TEMESA TANGA YAALIKA WADAU KUSIKILIZA KERO ZAO

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle akizungumza na wadau (hawapo pichani) wakati wa kikao cha wadau kilichoandaliwa na Wakala huo kusikiliza changamoto mbalimbali wanazokutana nazo, maoni na ushauri kuhusu huduma za TEMESA. Kikao hicho kilifanyika katika karakana ya mkoa wa Tanga. Kulia ni Meneja wa mkoa wa Tanga Mhandisi Margareth Gina na kushoto ni msaidizi wake Mahangaiko Ngoroma. Mkuu wa Wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa katikati akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa TEMESA mkoa wa Tanga kilichofanyika katika karakana ya wakala huo kwa ajili ya kupata maoni, ushauri na changamoto mbalimbali zinazowakabili wadau wa TEMESA mkoani humo. Kulia ni Meneja wa mkoa wa Tanga Mhandisi Margareth Gina na kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Wakala huo Mhandisi Japhet Y. Maselle Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) mkoa wa Tanga Mhandisi Margareth Gina kulia akisoma taarifa ya utendaji kazi ya karakana ya Wakala wakati wa kikao cha wadau (hawapo pic... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More