TENERIFE YAMZUIA SHAABAN IDDI KUCHEZEA AZAM FC KOMBE LA KAGAME, YAHOFIA ATAUMIA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TENERIFE YAMZUIA SHAABAN IDDI KUCHEZEA AZAM FC KOMBE LA KAGAME, YAHOFIA ATAUMIA

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
KLABU ya CD Tenerife ya Daraja la Kwanza nchini Hispania imemzuia mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda kuendelea kuchezea Azam FC katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame inayoendelea mjini Dar es Salaam ikiwa imefikia hatua ya Nusu Fainali.
Meneja wa Azam FC, Philipo Alando ameiambia Bin Zubeiry Sports – Online leo kwamba klabu hiyo ya Santa Cruz mjini Tenerife, visiwa vya Canary imetuma barua kuizuia Azam FC kuendelea kumtumia mchezaji huyo kwa sababu tayari wameingia mkataba wa kuuziana kwa mkopo.
CD Tenerife iliyomnunua kwa mkopo Chilunda wiki iliyopita baada ya kuvutiwa na mchezaji mwingine wa Tanzania, Farid Mussa kutoka akademi ya Azam pia - imesema inahofia mchezaji huyo anaweza kuumia kwenye mashindano ya Kagame.

Shaaban Iddi (kulia) amezuiwa kucheza michuano ya Kombe la Kagame na klabu yake mpya, CD Tenerife ya Hispania 

“Tumewaandikia barua CD Tenerife kuwaomba wamruhusu kuchea kumalizia hizi mechi mbili tu, kw... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More