Tenta Browser: Kivinjari salama kwa wasiotaka kufuatiliwa mtandaoni kwenye simu - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tenta Browser: Kivinjari salama kwa wasiotaka kufuatiliwa mtandaoni kwenye simu

Suala la usalama wa data za kimtandao limekuwa ni suala kubwa na nyeti sana kwa sasa. App ya Tenta Browser ni kivinjari cha Android kinachohakikisha usalama wa nyendo zako mtandao dhidi ya huduma za matangazo kama Google na huduma ya mtandao unayoitumia. Kivinjari hichi kinafanya kazi kwa kutumia mfumo wa VPN – teknolojia ya VPN [...]


The post Tenta Browser: Kivinjari salama kwa wasiotaka kufuatiliwa mtandaoni kwenye simu appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More