TESEA KUNUFAISHA WANAFUNZI, WALIMU NCHINI ILI KULETA CHACHU YA ELIMU BORA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TESEA KUNUFAISHA WANAFUNZI, WALIMU NCHINI ILI KULETA CHACHU YA ELIMU BORA

Na Khadija Seif Globu ya Jamii
MTANDAO wenye vifaa saidizi vya elimu umezinduliwa rasmi jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wadau wa elimu ,walimu na waandishi wa habari nchini.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Mwanzilishi wa Taasi isiyo ya kiserikali yenye mtandao wa kielimu nchini  (TESEA )Abdul Mambokileo amefafanua lengo la kuanzishwa kwa mtandao huo  unawataka wadau pamoja na walimu kuutumia kikamilifu kupata kuelewa baadhi ya mambo yanayohusu elimu ikiwemo maswali yatakua waongoza kuwafundisha wanafunzi na kufaulu .
Hata hivyo amesema  kumekuwepo na changamoto nyingi katika sekta ya elimu ukiachilia mbali suala la majengo,madawati pamoja na chakula zipo changamoto  ambazo kusababisha wanafunzi pamoja na walimu kukosa nyenzo za kujifunzia.
Mambokileo amefafanua aliiona fursa hiyo  na kuanzisha huduma ili kuipa kipaumbele elimu kwani msingi wa maisha mazuri ni pamoja kuwa na elimu ambayo itakuwezesha kupanga na kuendesha biashara,maisha huku ukiwa na ujuzi ambao unasaidiwa ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More