Testmony ya Emima katika #Zezekibubu Challenge - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Testmony ya Emima katika #Zezekibubu Challenge

Bado kuna story nzuri za kusisimua kutoka kwa @emima8605 .
Chakujifunza hapa ni kuwa kama una lengo na unalitumikia utalifikia na kupitiliza cheki post yangu ya juzi ushuhuda wa @gyverbeautyspa nae alikua na lengo. Lilipitiliza., hivyo basi inawezekana kabisa nawe ukashiriki hii challenge na kufanikiwa
.
Nikusihi tu andaa LENGO jua unataka kuweka akiba kiasi gani kisha cheki plan gani utatumia hapa @52weekssavingchallengetz Nenda cheki mbinu utakayotumia 
@smartmoneydecisions
Na subiri kujiunga na
#zezedigitalkibubu
#tuonanedesemba💳

Weka lengo ,chagua plan ya kufikia lengo ... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More