Tetesi: Toleo la Android la Huawei lina kasi ya 60% zaidi ya toleo la Google - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi: Toleo la Android la Huawei lina kasi ya 60% zaidi ya toleo la Google

Chombo cha habari cha China cha Global Times kimerepoti ya kwamba toleo la Android la Huawei lina kasi ya asilimia 60 zaidi ukilinganisha na toleo la Android kutoka Google. Watafiti wengi wameshasema ya kwamba katika katazo la serikali ya Marekani kwa makampuni ya nchini humo kufanya kazi na Huawei litaathiri sana eneo la mahusiano ya [...]


The post Tetesi: Toleo la Android la Huawei lina kasi ya 60% zaidi ya toleo la Google appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More