Tetesi za soka Bara Ulaya: Milinkovic-Savic, Cahill, Allegri, Ghoulam, Ibrahimovic, Ake, Fabregas - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka Bara Ulaya: Milinkovic-Savic, Cahill, Allegri, Ghoulam, Ibrahimovic, Ake, Fabregas

Jose Mourinho anataka Manchester United kufufua uhamisho wa Sergej Milinkovic-Savic Lazio baada ya ofa ya Euro milioni 80 dhidi ya kiungo huo wa kati wa Serbia kugonga mwamba msimu wa joto.


Source: BBC SwahiliRead More