Tetesi za soka barani Ulaya Alhamisi hii, Pogba, Klopp, Bowen, Hazard, Alderweireld, Bielsa, Icardi - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka barani Ulaya Alhamisi hii, Pogba, Klopp, Bowen, Hazard, Alderweireld, Bielsa, Icardi

Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba amebadilisha mpango wa kuondoka Old Trafford msimu wa joto baada ya kufanya mazungumzo na meneja wa muda wa klabu hiyo Ole Gunnar Solksjaer. (Sun)

Mpango wa United wa kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona Ivan Rakitic, 31 umefififa. (Evening Standard)Tetesi za Soka Ulaya Jumatano

Ronaldo ‘Hii ndio sababu wamenileta hapa’

Mvulana wa Kenya atunukiwa na Mesut Ozil

Rais wa zamani wa Bayern Munich, Franz Beckenbauer amemuunga mkono meneja wa sasa wa Liverpool Jurgen Klopp kuwaongoza klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama, Bundesliga. (Goal)

Kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard “hajawahi kusema lolote kuhusu Real Madrid”, kwa mujibu wa mchezaji mwenzake Willian.

Eden Hazard

Nyota huyo wa miaka 26 raia wa Ubelgiji amehusishwa na tetesi ya kuhamia klabu ya La Liga. (Mail)

Mchezaji wa Hull City Jarrod Bowen amekataa ofa ya euro milioni 12 kuhamia Cardiff City baada ya klabu hiyo kujaribu kumsaini wakati Emiliano Sala ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More