Tetesi za soka barani Ulaya Ijumaa hii, Eriksen, Tierney, Pope, Mbappe, Fekir na wengine sokoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka barani Ulaya Ijumaa hii, Eriksen, Tierney, Pope, Mbappe, Fekir na wengine sokoni

Arsenal na Leicester zote zina hamu ya kumsajili mchezaji wa Celtic na mlinzi wa Scotland Kieran Tierney, mwenye umri wa miaka 21. Leicester inamtaka Tierney aichukue nafasi ya mlinzi Ben Chilwell wakati wakitarajia maombi kuwasilishwa kwa mchezaji huyo. (Mirror)

Gunners imefanya mazungumzo na winga wa zaidi ya miaka 21 wa Rennes Ismaila Sarr. Arsenal imeipiku klabu hiyo ya Ufaransa kufika katika robo fainali ya Ligi ya Uropa Alhamisi. (Goal France)

Burnley inatazamia kumuuza Nick Pope, wa miaka 26, kwa kiasi cha £10m msimu huu wa joto, huku Arsenal ikiwa na hamu kubwa ya kumsajili kipa huyo wa England. (Sun)

Juventus itafanya kila iwezalo kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, mwenye miaka 20, kutoka Paris St-Germain msimu huu wa joto. (Tuttosport)

Newcastle ina hamu ya kumuajiri meneja wa Lyon Bruno Genesio iwapo Rafael Benitez hatoongeza mkataba wake huko St James’ Park. (L’Equipe)

Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane anataka kumsajili kiungo ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More