Tetesi za soka barani Ulaya Ijumaa hii, Man United kutumia fedha za Lukaku usajili ujao,  Sanchez na wengine sokoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka barani Ulaya Ijumaa hii, Man United kutumia fedha za Lukaku usajili ujao,  Sanchez na wengine sokoni

Manchester United itakabiliwa na deni la mshahara la pauni milioni 12 kwa mchezaji Alexis Sanchez hata kama atasajiliwa na klabu ya Inter Milan. (ESPN)


Alexis Sanchez


Sanchez, 30, ambaye ni raia wa Colombia alikosa mazoezi ya Alhamisi na klabu yake ya Man United baada ya kwenda ubalozi wa Marekani jijini London. (Sun)


Mshambuliaji wa Ubelgiji Christian Benteke, 28, na mlinzi raia wa England James Tomkins, 30, wapo katika mazungumzo ya kuongeza mikataba yao na klabu ya Crystal Palace. (Guardian)


Barcelona wamekataa ofa ya klabu ya Inter Milan ambao wanataka kumsajili kiungo wa kimataifa wa Chile Arturo Vidal, 32, kwa mkopo. (Mundo Deportivo)Arturo Vidal


Arturo Vidal


Man United wapo ukingoni kukubali mapatano ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Tottenham na Uhispania Fernando Llorente, 34. (Gazzetta dello Sport – via Star)


Lille wanaamini kuwa watafanikiwa kumng’oa kiungo Mreno Renato Sanches, 22, kutoka Bayern Munich. (L’Equipe)Ole Gunnar Solskjaer


Kocha wa United Ole Gunnar Solskjaer ataweza kutumia kitita cha pa... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More