Tetesi za soka barani Ulaya Ijumaa hii Salah, Jovic, Griezmann, Alonso, Rashford, Aubameyang, Lacazette - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka barani Ulaya Ijumaa hii Salah, Jovic, Griezmann, Alonso, Rashford, Aubameyang, Lacazette

Real Madrid inatarajiwa kujaribu tena kuwasilisha ombi kwa Liverpool msimu huu wa joto kumsajili mshambuliaji raia wa Misri Mohamed Salah, mwenye umri wa miaka 26. (Canal+, kupitia Mail)


Mo Salah


Mchezaji wa kiungo cha mbele wa Eintracht Frankfurt Luka Jovic, aliye na umri wa miaka 21, anakaribia kukamilisha uhamisho wa thamani ya £52.4m kwenda Real Madrid. (Sky Sports)


Barcelona inapanga kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, mwenye umri wa miaka 28, aliyetangaza mipango ya kutaka kuondoka Atletico Madrid. (Goal.com)


Manchester City ipo radhi kulipa kifungu kinachomfunga Griezmann katika mkataba wake. (Sport Witness, kupitia Manchester Evening News)


Mlinzi raia wa Uhispania wa Chelsea Marcos Alonso, mwenye umri wa miaka 28, anapigwa jicho na Atletico Madrid. (AS, kupitia Sun)


Mchezaji wa kiungo cha mbele wa Manchester United Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 21, na wachezaji wawili wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang, aliye na miaka 29, na Alexandre Lacazette, wa miaka 27... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More