Tetesi za soka barani Ulaya Jumamosi hii, Ozil kusalia Arsenal hadi 2021, wakala Mino Raiola atia uzito uhamisho wa Pogba, De Ligt, Hazard, sokoni  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka barani Ulaya Jumamosi hii, Ozil kusalia Arsenal hadi 2021, wakala Mino Raiola atia uzito uhamisho wa Pogba, De Ligt, Hazard, sokoni Mchezaji wa klabu ya Arsenal mwenye umri wa miaka 30, Mesut Ozil kuendelea kusalia katika timu hiyo ya Uingereza hadi 2021, amesema wakala wa mchezaji huyo (Independent)


Mesut Ozil wa Arsenal


Kufuatia wakala wa Paul Pogba, Mino Raiola kuzuiwa kwa miezi mitatu kutojihusisha na kuwawakilisha wachezaji, huwenda uhamisho wa nyota huyo wa Manchester United ukaingia dorasi kutokana na marufuku hiyo.  (Talksport)


Paul Pogba


Mshambuliaji wa Chelsea na timu ya taifa ya Ubelgiji Eden Hazard yuko mbioni kukubali masharti mapya na Real Madrid kuhusiana na uhamisho mwisho wa msimu huu . (Independent)


Eden hazard


 


Winga wa Uingereza Jadon Sancho, 19, atasalia katika klabu ya Ujerumani ya Borussia Dortmund mwisho wa msimu huu na kupinga kurudi katika ligi ya Uingereza. (Sun)


Eric Bailey kulia


Man United itamwachilia beki wa Ivory Coast Eric Bailly kujiunga na Arsenal – iwapo klabu hiyo itamuuza kwa dau la £30m walilolipa kununua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 2016. (Metro)


Beki wa Leicester na Uingereza Harry Maguire huenda akaichezea klabu ya... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More