Tetesi za soka barani Ulaya Jumanne hii Hazard, Man City, Loftus-Cheek, Griezmann, Sessegnon, Koulibaly, Tielemans, Werner - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka barani Ulaya Jumanne hii Hazard, Man City, Loftus-Cheek, Griezmann, Sessegnon, Koulibaly, Tielemans, Werner

Mshambuliaji wa safu ya kati wa Chelsea Mbelgiji Eden Hazard mwenye umri wa miaka 28- amekamilisha mkataba wake wa pauni £86m na Real Madrid baada ya fainali ya ligi ya Europa. (L’Equipe – in French)


Eden Hazard mwenye umri wa miaka 28- amekamilisha mkatataba wake wa pauni £86m na Real Madrid


Wapelelezi wa Uefa watapendekeza Manchester City iwekewe marufuku ya Championi Ligi kwa walau mwaka mmoja kutokana na tuhuma kuwa klabu hiyo iliwapotosha maafisa wa masuala ya fedha wa soka ya Ulaya . (New York Times)Ruben Loftus-Cheek, asema atasaini mkataba mpya katika klabu ya Chelsea ikiwa tu atapewa hakikisho la nafasi katika kikosi cha kwanza


Na washindi wa Ligi ya Primia City wanapanga kutumia £200m msimu unaoanza kutokana na hofu kuwekewa marufuku ya kuwahamisha wachezaji. (Mail)


Kiungo wa kati wa England Ruben Loftus-Cheek, mwenye umri wa miaka 23, atasaini mkataba mpya katika klabu ya Chelsea ikiwa tu atapewa hakikisho la nafasi katika kikosi cha kwanza. (sun)


Atletico Madrid watafanya mkutano na mshambuliaji wa ufaransa Antoine Griezmann wiki hii, huku klabu hiyo ikiwa na wasi wasi kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28tayari amekubali kujiunga na Barcelona. (Cadena Ser – in Spanish)


Tottenham ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More