Tetesi za soka barani Ulaya Jumanne hii, Oblak, Pogba, Wan-Bissaka, Rose, Sakai, Kruse, De Ligt - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka barani Ulaya Jumanne hii, Oblak, Pogba, Wan-Bissaka, Rose, Sakai, Kruse, De Ligt

Mlinda lango wa Atletico Madrid Jan Oblak anataka kuondoka katika timu hiyo msimu ujao na Mslovenia ,huyo mwenye umri wa miaka 26, anapendela kwenda Manchester United zaidi ya Paris St-Germain. (ESPN)


United wako tayari kuongeza £50m kwa ajili ya Wan-Bissaka
Manchester United wameiambia Real Madrid kwamba kiungo wa kati Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 26, hauzwi na wamekataa kutangaza bei ya mchezaji huyo Mfaransa. (AS)


Juventus wana nia ya kusaini tena mkataba na Pogba, lakini timu hiyo ya championi upande wa Serie A itatakiwa kuwauza wachezaji watano ili kuweza kummudu kiungo huyo wa kati wa United (Mail)


Manchester United wamekuwa wakishauriwa wamchukue Muingereza Wan-Bissaka Aaron anayecheza safu ya kulia-nyuma – licha ya dau la awali kwa ajili ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 21- kukataliwa na Crystal Palace. (Evening Standard)


Manchester United wameiambia Real Madrid kwamba Paul Pogba, hauzwi na wamekataa kutangaza bei ya mchezaji huyo MfaransaManchester United wameiambia Real Madrid kwamba Paul Pogba , hauzwi na wamekataa kutangaza bei ya mchezaji huyo Mfaransa

United wako tayari kuongeza £50m kwa ajili ya Wan-Bissaka. (Mirror)


Manchester Unit... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More