Tetesi za soka barani Ulaya Jumatano hii, Petr Cech kurejea Chelsea, De Gea, Pogba, Zaha, Gomes sokoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka barani Ulaya Jumatano hii, Petr Cech kurejea Chelsea, De Gea, Pogba, Zaha, Gomes sokoni

Kipa wa Arsenal mwenye umri wa miaka 37, Petr Cech atarejea Chelsea msimu huu wa joto kuchukua wadhifa wa mkurugenzi wa michezo. (Sky Sports)


Petr Cech


Gunners wanatafakari uwezekano wa kumsajili kwa uhamisho wa bila malipo kipa wa Dynamo Dresden na Ujerumani wa timu ya wachezaji wa chini ya miaka 21 Markus Schubert, 20, msimu ujao kuchukua nafasi ya Cech. (Bild – in German)


Manchester United wanakaribia kufikia makubaliano ya kumsaini winga wa Swansea na Wales, Daniel James, 21 kwa pauni milioni kumi na tano.(Mail)


United watalazimika kulipa pauni milioni hamsini (£50m) kumpata beki wa Crystal Palace Mwingereza Aaron Wan-Bissaka, 21, ambaye ni meneja Ole Gunnar Solskjaer amemteua kama mchezaji bora atakaye dhiditi safu ya nyuma ya timu yake msimu ujao. (Mirror)


Kipa wa Uhispania na Manchester United David de Gea, 28,amekataa kutia saini mkataba mpya na klabu hiyo wakati mkataba wake wa sasa ukitarajiwa kukamilika mwisho wa msimu ujao. (Sun)David de Gea


David de Gea


Newcastle na West Ham wanapani akumsa... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More