Tetesi za soka barani Ulaya Jumatatu hii, PSG kumsajili Dybala, Coutinho atua Bayern Munich na wengine sokoni  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka barani Ulaya Jumatatu hii, PSG kumsajili Dybala, Coutinho atua Bayern Munich na wengine sokoni 

Mabingwa wa Ufaransa PSG wamefanya mazungumzo na Juventus kuhusu uhamisho wa dau la pauni milioni 73 kumsajili mshambuliaji wa Argentina mwenye umri wa miaka 25 Paulo Dybala. (Mail)


Paulo Dubala


Kiungo wa kati wa Barcelona Philippe Coutinho amewasili nchini Ujerumani ili kukamilisha mkopo wake wa msimu huu kwa mabingwa wa ujerumani Bayern Munich. (Sun)


Image result for Philippe Coutinho has arrived in Germany


Paris St-Germain wamemtaka beki wa Real Madrid na Ufaransa Raphael Varane, 26, pamoja na mshambuliaji wa Brazil Vinicius Junior, 19, katika mpango wa kubadilishana wachezaji iwapo wanamuitaji mshambuliaji wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 Neymar. (Telefoot – in French)


Varane


Barcelona inatumai kumrudisha Neymar Nou Camp , lakini kukiwa na kifungu cha kumnunua.. (Sport – in Spanish)


Aliyekuwa mshambuliaji wa Tottenham Fernando Llorente, 34, anakaribia kujiunga na klabu ya Itali Lazio. Inter Milan, Fiorentina na Napoli pia zina hamu ya kumsaini raia huyo wa Uhispania , ambaye kwa sasa hana klabu. (Corriere Dello Sport – in Italian)


Inter Milan wanat... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More