Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 20.09.2018: Willian, Rashford, Grealish, Ronaldo, Pavon - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 20.09.2018: Willian, Rashford, Grealish, Ronaldo, Pavon

Kiungo wa kati wa Chelsea raia wa Brazil Willian, 30, anasema hakuwa na mpango wa kuondoka stamford Bridge msimu huu licha ya vilabu vya Manchester United na Barcelona kuonyesha dalili ya kumsaini.


Source: BBC SwahiliRead More