Tetesi za soka Ulaya Alhamisi tarehe 13.06.2019: Griezmann, Guardiola, Sarri, Bale, De Ligt, Ndombele, Lukaku, Pogba - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi tarehe 13.06.2019: Griezmann, Guardiola, Sarri, Bale, De Ligt, Ndombele, Lukaku, Pogba

Mkurugenzi mtendaji wa Atletico Madrid Miguel Angel Gil Marin, amethibitisha kuwa mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, mwenye umri wa miaka 28, atahamia Barcelona msimu huu. (Sport)


Source: BBC SwahiliRead More