Tetesi za soka Ulaya Jumamaosi 09.06.2018 - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka Ulaya Jumamaosi 09.06.2018

Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amesema kuwa anatumai atakuwa katika hali nzuri kuichezea Misri katika mechi yake ya kwanza ya kombe la dunia dhidi ya Uruguay mnamo tarehe 15 mwezi Juni. (Marca)


Source: BBC SwahiliRead More