Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 08.09.2018: Real Madrid, Liverpool, ManCity, Ramos, Salah, Fabinho, Terry, Leroy Sane, Rabiot - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 08.09.2018: Real Madrid, Liverpool, ManCity, Ramos, Salah, Fabinho, Terry, Leroy Sane, Rabiot

Beki wa Real Madrid na Uhispania Sergio Ramos, 32, alisema kuwa hakutaka kumjeruhi mshambuliaji wa Liverpool mwenye umri wa miaka 26 Mohamed Salah katika fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya (Telegraph)


Source: BBC SwahiliRead More