Tetesi za soka Ulaya Jumanne 09.07.2019: Griezmann, Pogba, James, Icardi, Sane, Bakayoko, Gomez - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 09.07.2019: Griezmann, Pogba, James, Icardi, Sane, Bakayoko, Gomez

Atletico Madrid imeanzisha mchakato wa kumuadhibu mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 28, ambaye anatarajiwa kuhamia Barcelona kwa dau la £107.5m . (Guardian)


Source: BBC SwahiliRead More