Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 12.02.2019: Salah, Sarri, Lampard, Foyth, Rabiot - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 12.02.2019: Salah, Sarri, Lampard, Foyth, Rabiot

Wachezaji wa Chelsea walifanya kikao maalum cha 'kurekebishana' katika uwana wao wa mazoezi wa Cobham jana Jumatatu kufuatia kipigo walichopata cha 6-0 dhidi ya Manchester City.


Source: BBC SwahiliRead More