Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 08.07.2018 - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 08.07.2018

West Ham wametoa ofa ya pauni milioni 17.5 kwa mshaabulizi wa Borussia Dortmund raia wa Ukraine Andriy Yarmolenko, 28 ambaye alijiunga na klabu hiyo ya Ujerumani mwaka uliopita kwa kima cha pauni milioni 23.


Source: BBC SwahiliRead More