Tetesi za soka Ulaya Jumapili 18.08.2019: Sanchez, Ribery, Ozil, Coutinho, Bolasie, Sancho. Zaha - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 18.08.2019: Sanchez, Ribery, Ozil, Coutinho, Bolasie, Sancho. Zaha

Mshambuliaji wa Manchester United na Chile Alexis Sanchez, 30, amekataa uhamisho wa kuelekea Roma, licha ya klabu hiyo ya Old Traford kukubali kulipa kitita kikubwa cha msharahara wake wa £560k kwa wiki.{Mirror)


Source: BBC SwahiliRead More