Tetesi za soka Ulaya Jumatano 10.10.2018: Mourinho, De Gea, Conte, Sancho, Henry, Terry - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 10.10.2018: Mourinho, De Gea, Conte, Sancho, Henry, Terry

Manchester United imeendelea kuwa na imani kuhusu mkataba wa mlinda mlango David de Gea ingawa amekuwa akihusishwa kuihama timu hiyo mara kadhaa. De Gea 27, amekuwa kwenye mazungumzo na United juu ya kuongeza mkataba .


Source: BBC SwahiliRead More