Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 22.07.2019: Bale, Maguire, Koscielny, Zaha, Asensio, Milner, James - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 22.07.2019: Bale, Maguire, Koscielny, Zaha, Asensio, Milner, James

Klabu ya ligi ya Uchina Beijing Guoan wamepania kumsajili winga wa Real Madrid Gareth Bale. Klabu hiyo, ina mpango wa kumfanya winga huyo mwenye miaka 30 kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika ligi ya Uchina. (telegraph)


Source: BBC SwahiliRead More