Tetesi za soka Ulaya Leo Alhamisi: Ozil, Malcom, Maguire,Alderweireld, Kean - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka Ulaya Leo Alhamisi: Ozil, Malcom, Maguire,Alderweireld, Kean

Arsenal inataka kumsaini winga wa Barcelona Malcom, 22, huku Everton ikiwa tayari imewasilisha ofa ya dau la £31.5m kumsaini raia huyo wa Brazil. (Sun)


Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Dean Saunders anaamini kwamba Ole Gunnar Solskjaer hatomaliza msimu huu kama mkufunzi wa Manchester United . (talkSPORT)

Solskjaer ana matumaini atafanikiwa kumnunua beki wa leicester Harry Magwire mbele ya majirani za wao wakuu Manchester City. (Mail)

Kiungo wa kati wa Manchester United na Uhispania Juan Mata, 31, amekataa mshahara wa £550,000 kwa wiki kutoka kwa klabu ya Shanghai SIPG na akaamua kuandikisha kandarasi mpya na klabu hiyo ya Old Trafford. (90Min)

Mata anasema kuwa alitia saini kadarasi mpya kwa kuwa klabu hiyo ni miongoni ma klabu kubwa nne duniani. (MUTV)

Ofa ya Everton ya dau la Yuro 30m limekataliwa na Juventus kumnunua mshambuliaji wa Itali Moise Kean. (Tuttosport, via Sport Witness)
Newcastle United ilimpatia mkufunzi Sam Allardyce ofa ya kurudi na kuifunza klabu hiyo wiki iliopita , ... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More