Tetesi za soka Ulaya Leo: Guardiola, Sarri, Pogba, Rakitic, Wan-Bissaka, Maguire, de Ligt, Lampard, Onana, Buffon - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za soka Ulaya Leo: Guardiola, Sarri, Pogba, Rakitic, Wan-Bissaka, Maguire, de Ligt, Lampard, Onana, Buffon

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anaangalia uwezekano wa kuchukua mapumziko ya muda katika soka mwishoni mwa msimu ujao ikiwa atashinda Championi Ligi . (Star)


Manchester United wamefanya mawasiliano na kiungo wa kati wa Barcelona Mcroatian Ivan Rakitic mwenye umri wa miaka 31. (Sport - in Spanish)

United watatakiwa kuvunja mikataba miwili ya rekodi ya uhamisho wa mchezaji wa safu ya ulinzi, ikiwa watahitaji kusaini mkataba na wachezaji wa safu hiyo kutoka England Aaron Wan-Bissaka, mwenye umri wa miaka 21, kutoka Crystal Palace na Harry Maguire, mwenye umri wa miaka 26, kutoka Leicester watakaolipwa pamoja pauni milioni 130. (Standard)

Hata hivyo , United wanataka sana kusaini mkataba na mchezaji wa timu ya England ya Norwich City anayecheza safu ya ulinzi Max Aarons,mwenye umri wa miaka 19, ikiwa azma yao ya kumchukua Wan-Bissaka itafanikiwa. (Sky Sports)

Mlinzi wa klabu ya Ajax ya Uholanzi Matthijs de Ligt, mwenye umri wa miaka 19, anasema " hajui moyo wake unasema nini " lakini at... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More