Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumanne: Giroud, Pogba, Conte, Sane, Batistuta - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumanne: Giroud, Pogba, Conte, Sane, Batistuta

Bayern Munich wanaamini kuwa watamsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Ujarumani Leroy Sane, 23, kutoka Manchester City msimu huu wa joto. (Mirror)


Manchester United wanatarajiwa kuitisha euro milioni 160 (£138m) kumuuza kiungo wa kati wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba, 26. (Star)

Mlinzi wa Leicester na nyota wa kimataifa wa England Harry Maguire, 26, ni mmoja wa walinzi wa kati wanaolengwa na Manchester City kuchukua nafasi ya Vincent Kompany. (Sky Sports)


Meneja mpya wa Anderlecht, Kompany anamfuatilia kwa karibu kocha wa chuo mpira cha Manchester City, Simon Davies na mkuu wa sayansi ya michezo Sam Erith, kuungana nae mjini Brussels. (Telegraph)


Meneja wa zamani wa Chelsea Antonio Conte ameafiki masharti ya kujiunga na Inter Milan kama kocha wao mpya msimu ujao. (Guardian)


Juventus wameachana na Conte na sasa wanamlenga meneja wa sasa wa Chelsea, Maurizio Sarri. (Sun)

Arsenal wametoa ofa ya kumnunua kipa wa valencia Mbrazilia Norberto Murara, baada ya kuzungumzana wawakilishi wa mchezaj... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More